Kigey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigey ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun iliyozungumzwa na Wagey. Mwaka wa 1982 idadi ya Wagey imehesabiwa kuwa watu 1900; wote lakini hawakuongea Kigey bali walikuwa wamebadilisha lugha na kuongea Kifulfulde. Kwa hiyo lugha ya Kigey ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigey iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.