Nenda kwa yaliyomo

Kigeme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigeme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wageme. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kigeme imehesabiwa kuwa watu 550 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigeme iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigeme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.