Kigelao cha Kijani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigelao ya Kijani (pia Kihagei) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigelao ya Kijani imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uchina. Lugha ya Kigelao ya Kijani imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigelao ya Kijani iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigelao cha Kijani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.