Kigbii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigbii ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wagbii. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigbii imehesabiwa kuwa watu 5600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbii iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.