Kigbe-Defi
Mandhari
Kigbe-Defi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kifon. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Defi imehesabiwa kuwa watu 13,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Defi iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidefi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidefi Archived 16 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidefi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gbh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Defi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |