Kigbe-Ci
Jump to navigation
Jump to search
Kigbe-Ci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kifon. Mwaka wa [[2002] idadi ya wasemaji wa Kigbe-Ci imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Ci iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kici kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kici
- lugha ya Kici katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cib
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Ci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |