Kigbanziri
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kigbanziri (lugha))
Kigbanziri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wagbanziri. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kigbanziri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 14,500. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbanziri iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigbanziri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigbanziri Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigbanziri katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gbg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbanziri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |