Kigarlali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigarlali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagarlali katika majimbo ya Queensland na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigarlali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigarlali kiko katika kundi la Kingura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigarlali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.