Kigaam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigaam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wagaam. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigaam imehesabiwa kuwa watu 67,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigaam iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigaam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.