Kifum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kifum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafum. Idadi ya wasemaji wa Kifum haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifum iko katika kundi la Grassfields linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.