Kifulfulde-Maasina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifulfulde-Maasina ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wafulfulde. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Maasina nchini Mali imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Pia kuna wasemaji 7300 nchini Ghana na wasemaji 1200 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Maasina iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Maasina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.