Kife'fe'
Mandhari
Kife'fe' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafe'fe'. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kife'fe' imehesabiwa kuwa watu 124,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kife'fe' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kife'fe' kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kife'fe' Archived 9 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kife'fe' katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fmp
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kife'fe' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |