Nenda kwa yaliyomo

Kifarefare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifarefare ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wafarefare. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kifarefare nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 820,000. Pia kuna wasemaji 25,100 nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifarefare iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifarefare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.