Kifania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifania ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wafania. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kifania imehesabiwa kuwa watu 1100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifania iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.