Kifali-Kaskazini
Mandhari
Kifali-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafali. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kifali-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifali-Kaskazini iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifali-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifali-Kaskazini Archived 2017-12-18 at Archive.today
- lugha ya Kifali-Kaskazini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fll
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifali-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |