Kien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kien ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam na Uchina inayozungumzwa na Wanung. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kien nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Pia kuna wasemaji nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kien iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.