Kielseng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kielseng ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waelseng. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kielseng imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kielseng haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kielseng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.