Kieleme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kieleme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waeleme. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kieleme imehesabiwa kuwa watu 58,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieleme iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieleme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.