Kieki
Mandhari
Kieki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waeki. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kieki imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieki iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kieki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kieki Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kieki katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/eki
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kieki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |