Kiekari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiekari ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waekari. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kiekari imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiekari iko katika kundi la “Wissel Lakes”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiekari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.