Kiefutop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiefutop ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waefutop. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiefutop imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefutop iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiefutop kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.