Kiedopi
Mandhari
Kiedopi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waedopi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiedopi imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiedopi iko katika kundi la “Lakes Plain”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiedopi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiedopi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiedopi katika Glottolog
- lugha ya Kiedopi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiedopi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |