Kiedo
Mandhari
Kiedo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waedo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiedo imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiedo iko katika kundi la Kiedoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiedo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiedo Archived 7 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiedo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bin
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiedo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |