Kidza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadza. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidza imehesabiwa kuwa watu 20,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidza iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.