Kidyugun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidyugun (au Kijukun) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadyugun katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidyugun ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka lakini Wadyugun wengine bado hukumbuka maneno machache. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidyugun kiko katika kundi la Kinyulnyulan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kiyawuru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidyugun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.