Kiduriankere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiduriankere ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waduriankere. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiduriankere imehesabiwa kuwa watu 30 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduriankere iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduriankere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.