Nenda kwa yaliyomo

Kidotyali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidotyali (au Kidoteli) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wadotyali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidotyali nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 788,000. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani lakini ni ndogo. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidotyali iko katika kundi la Kiaryan.

Wikipedia
Wikipedia
Kidotyali ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidotyali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.