Kidoko-Uyanga
Mandhari
Kidoko-Uyanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadoko. Idadi ya wasemaji wa Kidoko-Uyanga imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidoko-Uyanga iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidoko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidoko Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidoko katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/uya
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidoko-Uyanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |