Nenda kwa yaliyomo

Kidogose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidogose ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wadogose. Idadi ya wasemaji wa Kidogose imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidogose iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogose kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.