Nenda kwa yaliyomo

Kidogon, Dogul Dom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidogul-Dom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidogul imehesabiwa kuwa watu 15,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidogul iko katika kundi la Kidogon.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogon, Dogul Dom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.