Nenda kwa yaliyomo

Kidii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidii ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadii. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidii imehesabiwa kuwa watu 47,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidii iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.