Kidiebroud
Mandhari
Kidiebroud (pia Kitaworta) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadiebroud. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidiebroud imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidiebroud iko katika kundi la “Lakes Plain”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidiebroud kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidiebroud Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidiebroud katika Glottolog
- lugha ya Kidiebroud kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidiebroud kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |