Kidhurga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhurga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadhurga katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidhurga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhurga kiko katika kundi la Kiyuin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhurga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.