Kidera (Indonesia)
Mandhari
Kidera ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia na Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wadera. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidera nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 1000, na nchini Papua Guinea Mpya kuna watu 690. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidera iko katika kundi la Kisenagi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidera Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidera katika Glottolog
- lugha ya Kidera kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidera (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |