Kidendi (Benin)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidendi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Benin inayozungumzwa na Wadendi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kidendi nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 2050 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidendi iko katika kundi la Kisonghai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidendi (Benin) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.