Kidehwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidehwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wadehwari. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidehwari imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidehwari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidehwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.