Kidanuwar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidanuwar (au Kidhanwar) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Wadanuwar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidanuwar imehesabiwa kuwa watu 45,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidanuwar iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidanuwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.