Kidamar-Mashariki
Mandhari
Kidamar-Mashariki (pia Kidamar-Kusini) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamar kwenye kisiwa cha Damar. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kidamar-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 2800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidamar-Mashariki iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidamar-Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidamar-Mashariki Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidamar-Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kidamar-Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidamar-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |