Damar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Damar ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Romang. Eneo la kisiwa ni 198 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Wulur. Kati ya miaka ya 1987 na 1990, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 3600. Watu wakaao kisiwani kwa Damar huongea Kidamar-Mashariki na Kidamar-Magharibi.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.