Nenda kwa yaliyomo

Kidama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidama ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadama. Idadi ya wasemaji wa Kidama imehesabiwa kuwa watu hamsini tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidama iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.