Kidaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kidaka cha Baracoa nchini Kuba

Kidaka ni sehemu ya mwambao wa bahari inayozungukwa na nchi kavu pande tatu. Ni kidogo kuliko ghuba na kwa kawaida pana kuliko hori iliyosababishwa na mdomo wa kijito au mto baharini na kuelekea ndani ya bara.

Kidaka mara nyingi ni mahali pazuri kwa ajili ya bandari asilia.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Kidaka" inatumia neno ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.