Nenda kwa yaliyomo

Kidagara-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidagara-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wadagaari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidagara-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 388,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagara-Kaskazini iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidagara-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.