Kidaba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kidaba (lugha))
Kidaba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadaba. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidaba imehesabiwa kuwa watu 24,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaba iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidaba
- lugha ya Kidaba katika Glottolog* Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kidaba
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |