Kidaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidaba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadaba. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidaba imehesabiwa kuwa watu 24,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaba iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.