Kichwa (utarakilishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi, kichwa (kwa Kiingereza: header) ni data inayowekwa mwanzoni wa kipande cha data. Kwa mfano, katika utumaji wa barua pepe, "mletaji", "mpokeaji" au "jambo" ni vichwa vinavyoitwa kichwa cha barua pepe.

Pia kwenye HTTP kuna kichwa cha HTTP kilivyo anuani IP ya mletaji na anuani IP ya mpokeaji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).