Kicao-Lan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kicao-Lan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wacao-Lan. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicao-Lan imehesabiwa kuwa watu 169,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicao-Lan iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicao-Lan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.