Kibusa (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibusa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabusa. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibusa imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibusa iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibusa (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.