Kiburushaski
Mandhari
Kiburushaski ni lugha ya asili nchini Pakistan inayozungumzwa na Waburushaski. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiburushaski imehesabiwa kuwa watu 96,800. Kuna lahaja tatu: Kihunza, Kinagar na Kiyasin. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiburushaski ni cha pekee, yaani haihusiani na lugha nyingine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburushaski kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburushaski Ilihifadhiwa 3 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiburushaski katika Glottolog
- lugha ya Kiburushaski kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburushaski kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |