Kiburun
Mandhari
Kiburun ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waburun. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiburun imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburun iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburun Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiburun katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bdi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |