Kibullom-So
Mandhari
Kibullom-So ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wabullom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibullom-So nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu 8350. Pia kuna wasemaji wachache nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibullom-So kiko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibullom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibullom Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibullom katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/buy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibullom-So kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |